Kukabiliana na Ukosefu wa Maji Tana River
By Filikita Jilo Kwa miaka, ukosefu wa maji kaunti ya Tana River imebakia kuwa changamoto kwa wakazi. Ujio wa serikali za gazuti umewapa wakazi matumaini kuwa changamoto hii itatauliwa. Kulingana na utafiti wa Advocacy Strategy Paper 2019, kaunti ya Tana River inajumuisha visima 492, vibonde 120, mabwawa 8 na visima virefu 36. Kama njia moja […]
Read more